kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva costa Dodoma

    Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26. Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi

    Msichana wa miaka 25 anatafuta kazi yeyote ya halali elimu degree ya ualimu, lakini anafanya kazi yeyote mama lishe, restaurant, usafi yaani yeyote ile ya halali ambayo mwanamke anaweza fanya hata loan officer.Itapendeza kazi ikiwa dodoma , Dar au mkoa wa pwani ila kwengine kokote anafanya. Kwa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya kwa Wana CCM wote, kazi iendelee

    Kidumu chama cha mapinduzI Nawatakia hapoye new year Wana CCM wote katika Bwana Mkawe na MWAKA WA furaha na baraka
  4. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania MWALIMU WA KEMIA & BIOLOGIA NAOMBENI KAZI

    Habari zenu ndugu zangu. kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la kemia na biologia mwaka 2020 na G.P.A ya 2.9 Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia. Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Wenje ana kazi maalum CHADEMA

    Huyu Wenje amejidhihirisha kuwa ana kazi Maalum ndani ya CHADEMA. Kwanza yeye ndiye kamleta Abdul CHADEMA. Mivurugano yote unayoiona kwa Sasa imeletwa na Wenje baada ya pesa za Abdul kuingia kwenye chama. Leo kiburi Cha Kambi ya Wenje ni kwamba Kuna pesa walizonazo ndizo Kinga yao. Na pesa za...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Dini kama janga linalofukarisha wasiotaka kushtuka, kujifunza, kubadilika, kubuni , na kuchapa kazi

    Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta. Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udreva

    Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie. Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na coaster 0765874177
  10. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania TARURA Ilemela Ivunjwe, DED na Mhandisi wa Barabara nao Waondolewe kwa kushindwa kazi

    Katika halmashauri za manispaa za hovyo hapa nchini nadhani ile Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Nilikuwa huko kwa mapumziko ya sikukuu na nimejiuliza jee huko TARURA wapo kweli? Na jee Mkurugenzi na mhandisi wake wapo na wanalipwa mishahara? Hata ukienda juu zaidi jee RC Mtanda naye...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  12. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
  13. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

    Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini. Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa. Naunga mkono mtazamo wa...
  14. snipa

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

    WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Manager 📌 Bartender/Counter Staff 📌 Servers/Waitress 📌 Cleaners Vigezo vya Muombaji: ✅...
  16. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  17. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI 2 ZA KAZI YA RIDERS

    Affluence Express Ltd ni Kampuni inayotoa huduma za kusafirisha vifurushi na mizigo Tanzania, ipo Ghorofa namba 20 jengo la PSSSF Millennium Tower II Kijitonyama - Dar Es Salaam. Tuna karibisha maombi ya kazi ya Riders kama kiambatishi cha tangazo kinavyojieleza. Kwa mawasiliano zaidi usisite...
  18. Chiferereji Cha jisatu

    JamiiForums Tanzania Tufanye kazi pamoja

    Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025 Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025 Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu 1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya viwashio vya moto mikoani nitakutafitia, kukufungashia na kukutumia kukufikia popote ulipo kutoka...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi ni kuwathibiti watu wanaokunywa pombe za machicha wasilete fujo.

    Kama watu elimu yao ni ndogo,kama watu wakivuta bangi,basi, inevitably wataleta fujo na Polisi ni kazi yao kuhakikisha kwamba inakuwepo law and order. Kwa sababu ikifika mahali kwamba watu wanaona kwamba hawalindwi ins maana kwamba lazima wajilinde wenyewe. Na watu wakianza kujilinda wenyewe...
Back
Top Bottom