DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris,
Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali
Tatizo linapokuja hii DEI...
1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi.
2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu.
Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima.
3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
Kijana anatafuta Kazi au kibarua Kwa sasa yupo Dar es salaam.
Sifa zake hizi hapa
Umri miaka 20
Jinsia ME
Aina ya Kazi .
Kazi Kama za jikoni anaweza kufanya mfano katika pub n.k
Kazi Kama kulinda na kusimamia Nyumba .
Na Kazi nyingine zote Kama kukaa dukani , kuwa PA wa mtu personal...
Habari ya Jumapili wana JF.
Natafuta ajira/Kazi nimesomea Human resources Kwa level ya degree.
Nipo tayari kufanya Kazi mkoa wowote
Kuhusu Mimi
-Mchapa Kazi
-Mtu wa kutoa matokeo
-Na mbunifu.
Pamoja na kuwa nimesomea human resources Ila ndani yake naweza kufanya Kazi Kama, Marketing officer...
Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo).
Mifano ya legends / wakongwe
Wasanii.
20 Percent
Lady Jay Dee
Ray C...
Hellow Tanganyika,
Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?
Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?
Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?
Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏
Karibuni!
Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana.
1.Ubalozi
2.Mwanasheria mkuu
3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma
4.Madaktari
5.Polisi
===
Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini.
Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.
Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.
HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk
Fanya biashara ambayo histologically...
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa Desemba 2024, huku ukisababisha madeni kuongezeka kwa kuchelewa kulipa.
Traffic akikusimamisha...
Wakuu,
Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake.
Kuna nini?
========================================================
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe Adam Malima ametishia kuwahamisha baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Jinsia ni Me
Mkoa : Dar es salaam.
Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari
Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline...
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote
ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata...
Habari,
Mimi ni mwalimu ninaefundisha Civic and Moral Education, Social Studies na Kiswahili kwa primary schools. Additionally, naweza kufundisha matumizi ya Computer.
Lakini pia ninaweza kufundisha History, Civics na English kwa secondary schools.
Elimu yangu ni Digrii ya Elimu (Bachelor of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.