kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Damaso

    Basata mnafeli kwenye utendaji wenu wa kazi.

    Hawa viongozi wa Bar-Sata ni wa kukemewa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Wamefungia wimbo wa Ney wa mitego kwa sababu ameimba "wanaokuja kututeka wanakuja kama Polisi" yaani kwa utashi wao wanadai na wanasema ni maneno yenye uchochezi. Lakini upande wa Polisi wenyewe wanakiri wazi kwamba...
  2. D

    Hizi bei za nyama kupandishwa kiholela nani wa kuwasaidia Wananchi? Sasa hivi kilo TZS 12,000/ Bodi ya nyama kazi yake nini?

    Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni...
  3. J

    KAMUSI: Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri

    KAMUSI "Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na siku zijazo" - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Asante Mama kwa imani hii kwetu vijana, hakika...
  4. A

    Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha. Unakuta unaangalia runinga mara kipindi kinakatishwa kwa tangazo au kumtangaza mshindi wa mchezo...
  5. Mtoa Taarifa

    Oktoba 10: Siku ya Afya ya Akili Duniani - Je, sehemu unayofanyia kazi inaheshimu na kujali masuala ya Afya ya Akili ya Wafanyakazi?

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili. Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
  6. B

    Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  7. Msaga_sumu

    Maombi ya kazi

    Ndugu zangu habari na heshima kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Dar es Salaam, kwa sasa najishughulisha na kazi ya ufreelancer katika kampuni moja malipo ni kwa commission, pia najihusisha na vishughuli vya hapa na pale kujipatia chochote kitu ikiwa pamoja na udalali wa...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Umejiandaa vipi na maisha ya uzeeni (Retirement)?

    Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote. Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa. Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana yanapita upesi sana. Kama usipojiwekea malengo ya huko mbeleni utaishi maisha ya tabu sana. Wala...
  9. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

    Swali kwa wajukuu zangu wapenzi. Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa? Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
  10. G

    Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  11. AKAN

    Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake

    Habari za majukumu.... Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake. Hapa nazungumzia pesa ya kujikimu tu inauotolewa mwanzo wa mkataba... ⚠️Je hii pesa ipo kisheria au ni maamuzi ya mwajiri kutoa au laa.. Natanguliza shukran...
  12. Nehemia Kilave

    Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  13. Mwanamayu

    Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  14. October 2pm

    Utumishi Kazi imewashinda

    Tusichoshane.. Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama...
  15. E

    Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  16. Nyanda Banka

    Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  18. Nehemia Kilave

    Nafasi ya Kazi Pamba Fc

    Kazi kwenu wenye sifa
  19. dalalitz

    Mchakato wa kutuma maombi ya kuhamia Marekani kwa kuishi na kufanya kazi unaanza rasmi leo

    Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki. Ni rasmi sasa DV-2026...
  20. BOB LUSE

    Nafasi za kazi( 3)

    " New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053
Back
Top Bottom