kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  2. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Pandora Box:Trump anafungua ya JFK na MLK US huku TZ tunasubiri ya JPM,JK na SSH kubaka Katiba ya CCM na JMT je,Mungu kampa TAL kazi hiyo maalum?

    Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa. Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  4. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Siku nikipata kazi nitaruka kama ndama.

    Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting. Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani nao sana tu baada ya mgonga ulimbo mwenzangu kutoka kule Inyalikungu kulamba shavu kwenye moja ya...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  8. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI UALIMU.

    Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo; 1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha 2. PHYSICS-MATHEMATICS awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

    Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tutakosea sana kama hatutampongeza Godbless Lema kwa msimamo na kazi nzuri aliyofanya uchaguzi CHADEMA

    Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana . Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
  12. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa Kazi Za ndani

    Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane. Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
  13. Top007

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kutafuta masoko

    Habari ( Salesperson Needed ) NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme Eneo : Kibamba Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
  14. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  16. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni freelancer na hupati kazi FIVERR? Tunaweza kukusaidia kupata mteja wako wa kwanza FIVVERR!

    Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo? Karibu tukusaidie. Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help! Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
  17. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  20. Official Metson

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya pharmacy, yupo Dar

    Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
Back
Top Bottom