kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nipo kahama

    Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
  2. U

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dada wa kufanya kazi saloon Dodoma

    Anahitajika dada au mkaka wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri, kufanya Makeup, kushonea weavings, kubond n.k Kama Yupo tafadhali anichecki: Inbox Eneo la kazi ni Makulu. NB: Salon ni mpya hivyo anahitajika mtu ambae ana uzoefu na asiwe anakaa mbali sana.
  3. JamiiForums Tanzania ASANTE KAMANDA WETU MTIIFU KUTEKELEZA KAZI TULIYOKUTUMA HAWA MAKOLO HAWAENDI POPOTE. IMEISHA IYO.

    Nawasilisha salama zetu za pongezi. Nimemalza.
  4. JamiiForums Tanzania Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

    Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
  5. JamiiForums Tanzania Ombi la kubadili kituo cha kazi

    "Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi NSSF Geita/ niunganishe na unayemfahamu anafanya kazi hapo

    Habari wanajukwaa. Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye. Natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  8. JamiiForums Tanzania mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya huu ubao

    Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
  10. JamiiForums Tanzania Hii kazi imetulia sana

    Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wakulaumiwa ni wale wale walioaminiwa na kukabidhiwa majukumu lakini wakazembea kuyatekeleza kikamilifu

    Wadau hamjamboni nyote? Uzembe hautakiwi, haukubaliki na huleta hasara, majuto, usumbufu na kutishia amani Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  12. JamiiForums Tanzania Kataa kufanya kazi na boss was namba hii

    Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya ualimu wa sekondari

    Natafuta kazi wanandugu nina diploma ya secondary education mwalimu wa biology naishi Dar es salaam. Mbarkiwe.
  14. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Habari wana JFM Mimi nikijana wa kitanzania,niko na uhitaji wa kazi yeyote iliyo halali. Lakini pia nimesomea shahada ya Information Technology ,mwenye connection na kazi naomba anisaidie . Napatikana singida Tanzania. Email: samwelnduro@gmail.com Phone:0744968695
  15. JamiiForums Tanzania MWENYE CONNECTION YA KAZI JIJINI MWANZA

    Habari wanajamii forum samahan kama ntakuwa nje ya mada ila nilikuwa nahitaji msaada wenu mtu yeyote mwenye connection ya kazi aniambie elimu yangu ngazi ya Diploma ya manunuzi
  16. JamiiForums Tanzania Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

    Usilipe pesa kupata kazi mtandaoni* KWA SABABU ⬇️⬇️⬇️ Nimejitolea kumsaidia kila kijana mwenye uhitaji na kazi bila kujali elimu yake kwa sasa nitaposti kazi zote kwenye huu uzi na ni bure kabisa hakuna pesa za udalali kuwa karibu na huu uzi kisha niambie upo wapi na unaweza nini KUMBUKA...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kazi ambazo ungeweza kuzifanya visiwani na kutoboa

    Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo. Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke. 1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi 2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kunamtu humu aliwahi kuandika Mbowe anafabya kazi na CCM na akasema hamtaamini ni miaka 2 sasa imepita

    Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini. Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
  19. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Sa
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni 1.Ulinzi 2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar 3. kazi zote za nguvu hata viwandani 4. kazi za hotelini Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…