kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Habari wana jamii forum, niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa. Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata. Humu jamii forum kuna...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za mtandaoni

    Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content creator kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook, twitter, Tiktok n sambamba na hayo ni...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

    Wakuu Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana. Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

    Wadau hamjamboni nyote?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  9. dogman360

    JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  13. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  16. Abti

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  17. Intricate

    JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
Back
Top Bottom