kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Abti

    Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  2. Intricate

    Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  3. P

    Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
  4. I

    NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  5. Mr Beach Boy

    Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  6. Tech Max

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  7. Tech Max

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician)

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician) Naishi dar es salaam Mawasiliano: 0756704145
  8. Clemoo

    Tangazo la Kazi Secretary/Receptioniat

    Anahitajika Secretary/Receptionist mwenye uzoefu wa miaka miwili na kuendelea, Mwenye Kujua kusoma na kuandika kiingereza vizuri, Uwezo wa kutumia kompyuta hasa microsoft office package, nadhifu na mwenye customer service, Tuma Cv yako ,nakala ya Vyeti na na recent passport picture kwenye...
  9. Braza Kede

    Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  11. Just Pray

    Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  12. Hharyson

    FROM PAGALE TO STUNNING MANSION THIS IS WHAT WE CAN DO UKITUPA KAZI YAKO 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  13. Crocodiletooth

    Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  14. Munch wa Annabelle

    Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  15. Munch wa Annabelle

    Mrejesho wa kazi za TANROADS Pwani-Kibaha

    Jamn kwemaaa!! Kuna yeyote ambae ashapata mrejesho wa hizi KAZI za TANROADS PWANI-?
  16. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Wakuu habari za siku mingi. Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane. Merry yupo tunasonga na maisha. Nimekuja leo naombani ushauri. Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na...
  17. DELETED ACCOUNT

    Morocco ni mwenyeji wa ofisi kubwa za soka ila fainali inafanyika kwao halafu VAR haifanyi kazi

    Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku kwa unyonge wetu na timu zao zinaweza kuja kuwa wahanga na kuwa harakati za Simba zinafungua njia...
  18. funaku

    Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  19. Komando kipen

    Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  20. A

    Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
Back
Top Bottom