Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,744
Reaction score
5,113
Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu!

Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅

Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅

Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅

Wengine mnaoweza kuwatafuta:

Miguel Gamondi - Singida Huwa hawana kipengele

Julien Chevalier - ASEC huwa hawana kipengele ila ni Kocha wa Project ✊

Kama mnataka Kocha la mchongo mchongo - Molefi Nseki yupo yupo tu😂

Hao ni baadhi tu
 
Miloud kule kashinda mechi moja tu na sare moja zaidi ya hapo ni kipigo tu, sijui ilikuwaje akaondoka Yanga yenye project inayoeleweka
 
Miloud kule kashinda mechi moja tu na sare moja zaidi ya hapo ni kipigo tu, sijui ilikuwaje akaondoka Yanga yenye project inayoeleweka
Halafu alikuwa amefit vizuri kweli. Labda aliona hakupewa heshima inayostahili na uongozi.
 
Halafu alikuwa amefit vizuri kweli. Labda aliona hakupewa heshima inayostahili na uongozi.
Hapana, kwa Yanga hii ya sasa Milud alikuwa hatufai. Jamaa toka akabidhiwe timu, timu haikuonesha mikakati mizuri sana. Na yeye alitamani kubaki ila uongozi wa Yanga ukampa NO.

Viongozi walimuona huyu hawezi kuwa potential huko mbeleni kwamba wampe mkataba mrefu halafu watu waje wauvunje wamchukue.
 
Unaposema hakuonesha mikakati mizuri unamaana gani? Tupe ufafanuzi, inawezekana hatukujua ya ndani zaidi kiufundi
 
Back
Top Bottom