kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kazi za afisa Ugavi kupitia MDA & LGA's

    Habari wanajamii. Natumaini wote wazima. Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta yana kazi gani?

    Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto. Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
  4. meningitis

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Wazawa yaliyopewa kazi ya kuchimba makaa ya mawe na NDC

    By Jacob Maganga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania “Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂

    “Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM mnaposema kazi na utu mnamaanisha nini?

    Kama sielewi kabisa... Kazi na Utu ndiyo nini? CCM huwa mnakuja na kauli mbiu, lakini hii ni ya kiwango cha chini?
  7. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kutafuta kazi mikumi

    Niko mikumi wadau naomba kazi yeyote ile aseee hali mbayaaa sana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  9. mzeesam

    JamiiForums Tanzania MKE AMBAYE NI MFANYA KAZI WA BAR.

    HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO. TOA MAONI YAKO.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  11. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema amepatiwa ruhusa na Trump aache mazungumzo na aingie Gaza kwa nguvu zote amalize kazi

    Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho. Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia. Tuliobaki ambao ni...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

    Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 30 wataka kuuza figo muhimbili...wapunguze ukali wa maisha waambiwa wakafanye kazi hospt haina uuo utaratibu..duh tunapoelekea tunauziana maini utumbo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha. "Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi 25 za Kazi katika Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

    TANGAZO LA AJIRA Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH Mahali: Mwanza, Tanzania Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi zifuatazo: Nafasi Zilizopo Afisa Uhasibu –...
  17. jangoma

    JamiiForums Tanzania Je NordVpn inafanya kazi Tanzania

    Wadau hamjambo, je nord vpn inaconnect vizuri ukiwa Tanzania au na yenyewe imeblockiwa?
  18. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Top Tools tunazotumia Victoria Agency company kufanya kazi zetu.

    TSH Rates Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani. Atlas Kupitia...
  20. PLOII

    JamiiForums Tanzania WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
Back
Top Bottom