kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatuhimiza wananchi tukachape kazi, wakati makampuni yakiendelea kuwapunguza wafanyakazi wao kutokana na ugonjwa wa Corona!

    Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha! Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jubilee Insurance Company

    Jubilee Insurance Company of Tanzania is a top ranking insurance company operating in Tanzania. They wish to recruit the following personnel for their head office in Dar Es Salaam. GENERAL MANAGER TECHNICAL- RE ADVERTISED To be responsible for underwriting, claims and reinsurance for the...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli akihimiza watu wachape kazi, wengine wameanza kupunguza mlundikano makazini

    Leo asubuhi nimebahatika kupitia baadhi ya viwanda ikiwemo TBL aisee hali ni mbaya. Wafanyakazi wamepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Pia sijui ni hisia tu za watu au vipi ila baadhi wanakiri waziwazi kuwa na dalili za ugonjwa wa COVID-19 na wengi wameanza kuingiwa na hofu. Mamlaka zinazohusika na...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VSO

    Position: Project Assistant Type of role Community and social work Location Tanzania Salary Annual Salary Maximum TZS 27,000,000/= Contract type Permanent Contract length 1 year Full Time 35 hours per week Application Closing Date 06 Apr 2020 Interview date TBC Start date April 2020 VSO is the...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi IOM

    Terms of Reference REF: IOM/DAR/006/2020 Assignment Title: National Consultant – Migration Environment and Climate Change Duty Station: IOM Tanzania, Dar es Salaam Type of Appointment: Consultancy Contract Established in 1951, IOM is a Related...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi CRDB

    VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi position ya planning officer (afisa mipango) huwa wanafanya kazi zipi hasa? na je qualification zake za kuajiriwa zikoje?

    Jamani naomba kujua kwa wale wazoefu wa kazi, kazi za afisa mipango ikoje? anafanya kazi gani hasa? je kuajiriwa ni lazima uwe na vigezo gani (qualification) na je ni serikalini tu au hadi private institution nafasi zake zipo? NAOMBA MWENYE UELEWA ANIJIBIE PLEASE.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona. Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

    Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri? Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi. Swala la kufunga kila kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Danish Refugee

    Danish Refugee Council – Tanzania Job Announcement WASH Assistant-Hygiene Promotion – NATIONAL POSITION (01) Danish Refugee Council (DRC) is an international non-governmental organization which provides assistance and promotes durable solutions for refugees and internally displaced people, on...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Frankfurt Zoological Society

    1. Communications Technician (Radio) Job Summary Ensures that the digital VHF radio system installed in Selous Game Reserve (SGR) is fully functioning as per requirements of the park management. Support the installation and management of digital VHF radio in the south of SGR. Ensure that all...
  13. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

    Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi. Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote iliyo halali.

    Nina elimu katika shahada ya kwanza katika uhandisi kilimo ( bsc Agricultural engineering/Agro-mechanical). Natafuta kazi yoyote iliyo halali inayohusiana na hii fani yangu ama kazi yoyote inayofundishika. Mfano katika haya maeneo ninauwezo nayo. -Water supply. -Environmental impact...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Natafta mzungu wa kufanya nae kazi

    Elimu yangu form 6 natafta mzungu wa kufanya nae kazi yan ye awe mkuu wangu aniajiri kazi yoyote npo mwanza. Nina uzoefu wa computer, customer care, shopselling, usafi na kazi zingine za kawaida pia, ata mzungu asipopatikana ata mtu yeyote nipo tayari anipatie kazi.0762739590
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi EGPAF

    The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation is a global leader in the fight against pediatric HIV and AIDS, working in 16 countries and at over 5,000 sites around the world to prevent the transmission of HIV to children, and to help those already infected.Today, because of the highly...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi FQF Capital

    Job Title: Tracking Supervisor – Transport Job location: Dar es Salaam Company Name: FQF Capital Salary: Negotiable Job Description: * To work as Supervisor a team in the tracking call center and function as a vehicle tracking operator. * Responsible for monitoring and recording truck...
  18. JamiiForums Tanzania Kipi kinaendelea kwa nafasi za kazi zilozotangazwa na TRA kupitia utumishi

    Habari wanajamvi, kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist. Swali langu la msingi je...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua cha muda mimi ni fundi sanifu umeme (Electrical Technician)

    Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima. Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam. Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
  20. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

    Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…