Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...