Nina rafiki yangu wa kike nilisoma naye shule ya msingi. Hakufanikiwa kujiunga na masomo ya sekondari, hivyo akaamua kuolewa tu. Kutokana na changamoto mbalimbali, ndoa yake imevunjika mwaka jana. Sasa amekuja mjini kutafuta kazi yoyote halali. Naomba kama kuna mtu anaweza kumpa kazi ya kufanya/...