kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tovuti ya wizara elimu haifanyi kazi na haipo kabisa?

    Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada ya kuingia ndalixhaxko tumona hakuna updates yeyote ambayo unaweza ukaipata kutoka tovuti ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha? Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo? Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania "Kazi Iendelee" ni msemo unaokwepa majukumu huko tuendapo, umekaa kijumlajumla

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi. Unakwepa kuwa na commitment kwenye maisha ya Watanzania milioni 60, ni kama vile ikifika wakati wa Rais kuulizwa kafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Maabara jamani Lab Assistant

    Tangazo hilo kama linavyojieleza wapendwa ninahitaji nafasi ya kazi. Nina miaka 28Yrs...mkazi wa Kahama Shinyanga...Nina ERP....Uzoefu upo wa kutosha tu kama miaka 5 tokea nimalize chuo 2016..Nina mke na mtoto mmoja ...0765 626 871. Natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Simbachawene umetukosea sana Graduate tunaouza chai na kutembeza viungo mabarabarani, pia tunaokula chakula cha mjomba, hiyo kazi tunaitaka sana

    Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Naitwa Pastory Augustino Nipo morogoro Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee, Level yangu ni diploma
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  10. JamiiForums Tanzania Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

    Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa Sifa za Muombaji MWENYEKITI WA BODI KECO GROUP LTD S.L.P 34332, DAR ES SALAAM, TANZANIA. Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
  11. JamiiForums Tanzania Kusema 'Nendeni Mkalifanyie Kazi' bila kuwa na KPIs kuna walakini

    Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake. Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi WASIFU WANGU: 1. Nina miaka 25 2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
  15. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

    Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata...
  16. JamiiForums Tanzania Matunda ya chanjo yaanza kuonekana, kazi nzuri ya Rais Samia

    Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya marketing/ afisa mikopo/ procurement

    Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS. Nilisoma kozi ya Ugavi na manunuzi kwa ngazi ya diploma Lakini kutokana na changamoto za kifamilia...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kutoka kwa wadada wa kazi ( dini na maeneo wanayotoka iko nyuma kielelimu)

    Sina nia mbaya! Lakini kwa muktadha wa nadharia! Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi! Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani! Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

    Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno. Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…