kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe asisamehewe, ila sheria iachwe ifanye kazi huru. Mnapotaka aachiwe huru mnazingatia nini?Tufahamu Ukweli ni Upi

    watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Twitter wajuaji wa kila kitu, wanafanya kazi muda gani?

    Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?. Wanapenda maoni yao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Banking and Finance

    Habari! Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier Kwa wakala wa Mabasi yaendayo kasi DAR (DART) Nipo DAR ES SALAAM naomba mnisaidie kupata kazi...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye mashirika mbalimbali Tanzania

    JOBS VACANCY Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor –...
  5. X

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI MASHIRIKA MBALIMBALI JIJINI Dar es salaam

    JOBS DAR ES SALAAM Cargo Sales Officer (2 Posts) at ATCL December, 2021 - New! IT Support Officer Jobs Vacancy at Watu LTD Decmber 2021 Manager – PMTCT/EID/Pediatric HIV Service Delivery (1 Post) at MDH DECEMBER 2021 PLUMBER II - POSTS at Marine Services Company Limited December 2021 ARTISAN...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Moshi: Assistant Accountant na Office Administrator

    Nafasi tajwa hapo juu zinahitaji watu. Mshahara ni Tsh. 300,000. Mahali ni Moshi Kilimanjaro. Kama upo interested, tuma cv kwa info@starrich.co.tz NB. Onyesha kazi uliyoomba.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi za ndani ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana

    Habarini wana JamiiForums Ninatafuta kazi za ndani kwa yeyote ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana Malipo kuanzia laki Asanteni
  8. JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

    Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini. Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam Idadi ya watoto: Wawili Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
  9. JamiiForums Tanzania Kazi kwa wataalam wa mauzo na madereva

    Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for: 1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies company or commercial sales company. 2/ Experienced drivers (driving license (type C). Applicants...
  10. JamiiForums Tanzania Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

    Habari, Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing) Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane Jinsia yangu ni +ke hata kazi nyingine naweza kufanya, nipo Geita
  13. JamiiForums Tanzania Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

    Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa. Basi kwa siku...
  14. JamiiForums Tanzania Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

    Wadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa Hip Hop motra the future kaja kujibu diss ya kikosi kazi kwa niaba ya weusi. Nanukuu mistari ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

    Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva

    Company Driver - Dar Es Salaam, Tanzania MUST BE ABLE TO START THIS WEEK. MUST HAVE EXPERIENCE AT A REPUTABLE COMPANY Purpose of the position: To ensure all company vehicles are taken good care, cleaned and driven according to company policy. We be supposed to deliver all company mails to...
  18. JamiiForums Tanzania Chongolo: Kazi ya siasa sio uongo bali ni kuombeana mema

    =AZUUWd1OU7Rl6vvdDQtiwHMSxmWBB8ij45C04oMwTuY3Udqu5PlqIE0kP2mmadVRrgnAYhcXxUHlxET6Hh9KgDEXWLPj4mHzw-2HDXNV4KApOz4YZCdwpuxXNul2E7DX6Xa6OeOddumzlq5XMxB-Jun9&tn=*NK-R']#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi. "Kazi ya siasa sio uongo, majungu, fitina...
  19. JamiiForums Tanzania Opportunity ya kazi kwa wabongo wanaoishi Afrika Kusini

    Habari zenu ndugu zangu, ama baada ya salam ningependa kujielekeza kwenye mada husika. Mimi ni mbongo ninaeishi hapa Afrika Kusini, kuna salon nimefungua, so nahitaji vinyozi watatu wenye sifa tatu. 1) sifa ya kwanza kinyozi awe na uzoefu wa kutosha wa kazi hii, na awe anajua kunyoa style...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia maliza kazi ipapatue Zanzibar kwenye makucha ya mkoloni mweusi

    Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo. Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja. Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…