kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa sanaa ya muziki na kazi nyingine za sanaa zipewe nafasi ili ziweze kukua zaidi

    Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  3. JamiiForums Tanzania Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Siku nzima ya leo benki ya CRDB haikufanya kazi kwa ukosefu wa mtandao

    Siku ya leo haikuwa siku nzuri kwa CRDB. Wateja wengi tulikosa huma na wengine tulikaa ndani ya Benki kwa muda mrefu sana kwa Benki kukosa mtandao. Mpaka sasa Benki haijatuomba radhi licha ya kupata adha kubwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kufanya kazi na wahindi jamani

    Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Singida Mashariki, Kazi anazofanya Miraji Mtaturu, Lissu tafuta jimbo lingine

    ==== Pamoja na kuwa Jimbo la Singida Mashariki lilisalia mikononi Mwachadema kwa zaidi ya mwongo mmoja ajabu ni kwamba baadhi ya maeneo ya jimbo hilo kwenye karne hii ya Sayansi na tekinologia watu walikuwa bado wakiwasiliana kwa kutumia "Barua " kwani hawakuwa na minara ya simu, Ujio wa Mhe...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na wastaafu waliokuwa wanafanya kazi maalum?

    Nianze kwa kusema habari wapendwa. Nianze kwa kusema thread yangu nimeianza kwa mfumo wa swali hali ya kuwa ndani inamaelezo machache japo yenye kuendana na swali pia. Sababu ya kuleta thread hii ni kwa sababu ya baba yangu mdogo ambae alikuwa akifanya kazi magereza kipindi cha miaka ya 80 na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  12. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Halotel kwisha kazi kwenye internet

    Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
  14. JamiiForums Tanzania Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing yamalizika

    Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC

    wadau za mda huu Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi
  17. JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji wa Beijing kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi 2022 imeanzisha kwa utaratibu

    Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
  20. JamiiForums Tanzania We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals

    We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals to help us build up our business activities. Sales responsibilities include discovering and pursuing new sales prospects, negotiating deals and maintaining customer satisfaction. Responsibility Include; Conducting market...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…