kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mdegela: 1995 nilimchagua Mrema, 2015 nilimchagua Lowassa. Magufuli alifanya kazi kubwa lakini Lowassa angefanya kubwa zaidi!

    Askofu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dr Mdegela amesema maaskofu wasifikiri kwamba Vijana wa leo hawajitambui kama wale wa zamani. Mdegeka alikuwa anaongelea mgogoro wa Dayosisi ya Konde na kusema KKKT wamebobea kwa kuvunja Katiba zai wenyewe na hawana mifumo yiyote ya kushughulikia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtalaamu wa masuala ya uvuvi akifanya kazi kwa mihemuko

  3. JamiiForums Tanzania Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

    Leo nataka kuwapa ushauri waajiriwa. Malalamiko ya mishahara kutokutosha yamekuwa mengi, hasa kwa waajiriwa na Mama Samia. Malalamiko yenu ni ya msingi kabisa. Lakini inabidi mjiongeze. Najua hata mkiongezewa mshahara shida ziko pale pale. Simaanishi msiongezewe, la hasha!! Naona kuna tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

    Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona. Hatusikii...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Kijana wa kiume. Umri wa miaka 25. Smart, Uwezo wa kutumia computer, Elimu ya diploma ya kilimo, Dereva wa gari, pikipiki, leseni class D Kuongea na kuandika kiingereza fasaha. 0714173347
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwenye kufanyakazi bila kuwa na mkataba

    Sheria ikoje ktk kesi ya hasara (loss) ilitokea dukan ikiwa hakuna mkataba kati ya mfanyakazi na boss
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kikosi Kazi alichounda Rais kimem ‘expose’ Zitto yuko upande gani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani. Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

  9. JamiiForums Tanzania Kijana natafuta kazi ya kuosha magari

    Habara wapendwa poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari. Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari. Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha Nina uwezo wa kuongea na...
  10. JamiiForums Tanzania Nimesoma Bsc. Human nutrition, natafuta kazi ya kujitolea

    Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo; 1. Nutritional Assessment and...
  11. JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
  12. JamiiForums Tanzania Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

    Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na masomo, naombeni kazi

    Habari wana Jf, Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza. Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa Rais kujifichia kwenye kamati/ kikosi kazi unaitwaje kitaalamu?

    Tumeona maamuzi kadhaa ya kitaifa hivi karibuni yamekuwa yakitolewa kupitia uundwaji wa tume, kamati na vikosi kazi. Tunaona imeundwa timu ya kuangalia kanuni za kuendesha mikutano ya siasa Baadae kidogo tunaona kuna kikosi kazi cha kuangalia tume huru na kushauri kuhusu upatikanaji wa katiba...
  15. JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kazi za nyumbani

    Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania. SIFA: umri kati ya miaka 18- 25 Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level) Eneo la kazi: Tanga mjini Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine. Malazi na...
  16. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya PC Maintanance and Networking

    Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza fanya kazi zifuatazo kama: Windows installation Computer Repair and Maintainance Network Installation...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

    Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

    Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ... Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY. nimespecialize kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…