Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

Status
Not open for further replies.

Flowerpot

Senior Member
Aug 30, 2021
181
256
Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills.

Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android app development. Nimependa technology tokea nikiwa mdogo hivyo muda wangu wa ziada huwa najifunza vitu vipya.

Portfolio website: Portfolio

Jana nime deploy app (no major bugs)
Nilianza na firebase firestore lakini nikaona watanzania wengi hawana internet muda wote, pia firestore offline sio reliable kabisa. Hivyo nikahamia SQLite na backup inatunzwa firebase storage attached na id ya user.
Mauzo matumizi - Apps on Google Play

Kwasasa najifunza PHP kwaajili ya final project.

Asante.

View attachment 2157575

View attachment 2157577

View attachment 2157581

View attachment 2157583
 
Last edited:
Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript (sio sana). JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android app development (beginner). Nimependa technology tokea nikiwa mdogo hivyo huwa najifundisha especially app dev. Sina experience kubwa lakini i am willing to learn new things.

Portfolio website: portfolio

Jana nime deploy app (sio perfect lakini hamna major bugs) Mauzo matumizi - Apps on Google Play

Asante.
vizur
 
Hapa hakuna cha ushauri wala nini.....
Kwanza maliza shule kijana, punguza haraka ya mafanikio. Kumbuka bado kuna kipindi cha maktaim hadi soli ya mokasini ipinde kwenye kisigino, na bado utanunua bahasha mpya hadi zichakae na zibakize alama za vidole kwa kuzibeba.
Kua mvumilivu, maliza kwanza shule alafu baada ya hapo unitafute nikupe koneksheni ya sehem ukafanye kazi kwa kujitolea na utanunuliwa chakula tu pamoja na nauli ..dadadeqi
 
Hapa hakuna cha ushauri wala nini.....
Kwanza maliza shule kijana, punguza haraka ya mafanikio. Kumbuka bado kuna kipindi cha maktaim hadi soli ya mokasini ipinde kwenye kisigino, na bado utanunua bahasha mpya hadi zichakae na zibakize alama za vidole kwa kuzibeba.
Kua mvumilivu, maliza kwanza shule alafu baada ya hapo unitafute nikupe koneksheni ya sehem ukafanye kazi kwa kujitolea na utanunuliwa chakula tu pamoja na nauli ..dadadeqi
🙄🙄
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom