kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Watu walifanyaje kazi kabla ya mashine kuvumbuliwa?

    Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii. Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini. Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
  2. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Mwananchi alipomaliza kazi kishujaa kwa Mkapa

    MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata juzi. Ndiyo, walistahili. Safari wamekwenda robo fainali yenye heshima zaidi. Mwaka ule wakati kina...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  4. JamiiForums Tanzania Subject of e-mail and body of e-mail

    Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email? Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu? HII HUENDA NDIO SABABU KUBWA YA BAAZI YA MAOMBI YAKO KUTO JIBIWA... "KUTO KUWEKA SUBJECT NA BODY OF EMAIL" - Nikosa kubwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, nipo Dar es Salaam

    Habarini wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28 nipo Dar ni camera man video editor na graphic designer pia ni content creator. Sina kazi kwa sasa, nahitaji kazi yoyote ya kujikimu kimaisha maana kwa kazi za video production bila conmection huwezi pata, hivyo nikaona nitafute kazi yoyote ile ili...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina bachelor degree ya Project Planning and Management na diploma ya Community Development

    wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development. Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed. thank you...
  7. JamiiForums Tanzania Uombaji Kazi

    Kwanini izi kampuni au organizations za kazi mnanyanyasa sana watu Ivi na qualifications za ajabu??? Ivi kweli mtu unaandika 18-29 halafu awe ana degree na pia experience ya miaka 5? Huyo 18 c from 5 au 6 wengine walochelewa 4 kabisa? Ndo shida ya kupaste kila kitu. Na iyo mwisho 29 nini? Kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

    Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC...
  9. JamiiForums Tanzania Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

    Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia. Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1. Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  11. JamiiForums Tanzania Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

    Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  14. JamiiForums Tanzania Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  15. JamiiForums Tanzania Hatumfundishi kazi Rais bali tunamshauri kuhusu vitengo hivi viende wizara husika

    Umofia kwenu wana Great Thinkers. Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
  16. JamiiForums Tanzania Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

    Nimekutana na watu wengi sana wakiwa na hizi bangili sio wazee tu Hadi vijana. Je huo ni ulozi? Au kujikinga na mabaya? Wanaovaa wengi ni wafanyabiashara.
  17. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya kemia, natafuta kazi yoyote ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu

    Habari wakuu, mimi ni kijana wa kiume (26), mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma, Shahada ya kwanza ya sayansi katika kemia (mkemia), ninaomba kazi Yoyote ile iwe ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu ilimradi nitengeneze kipato mdogo cha kuendesha maisha yangu. Nipo Ubungo Dar es Salam...
  18. JamiiForums Tanzania RC Mongella azitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano wa kijinsia mahala pa kazi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi. Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
  19. JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…