Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amesema kauli yake aliyoitoa katikati ya mwezi Aprili mwaka 2024 ‘Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia polisi msiwatafute”, ilitafsiriwa tofauti akidai kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kilikuwa ni...
NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA!
Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua?
Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani
Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo...
"This battle is going on everywhere on the continent, if not the whole earth. Tanzanians have just realised they were behind. It's the Tanzanians who maintained a rotten system and are responsible for this mess, not CCM. Tanzanians, in general, were not significantly affected by the fall of the...
KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe.
Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani?
Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua...
Kumekuwepo na kauli mbali mbali za watetezi wa Uamuzi wa baàdhi yetu kutetea Sirikali iliyopi na uhalali wao, wa kufanya uchunguzi na mengineyo ili waendele kuwa madarakani na kuficha ukweli kwa kuegemea kwenye Katiba na Uhuru wa nchi kwenye kujitawala. Lakini hapo hapo wanashindwa kukumbuka...
hata chatgp imekataa kwa nguvu zote
mimi pia naungana na CHATGPT kukataa,
nchi ya Tanzania imejaaliwa rasilimali nyingi sana mpaka baadhi ya nchi wanatamani wawe kama sisi
tumejaaliwa kila aina ya utajiri baadhi naorodhesha hapa chini
Tukianza na rasilimali tulizojaariwa hifadhi na mbuga...
Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.
Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
GT
Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee.
Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki.
Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika. Yote yalishindikana watu wanaingia msituni kupambania haki zao. Ndivyo nchi nyingiza Afrika walifanya...
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani
Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo.
1- Watanzania wasiogope
ANa watia moyo watanzania na pia...
Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa...
Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwenye Insta story yake Msigwa maeandika "Mnaojaribu kupotosha kauli yangu nilipojibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu mada ya utekaji achane kufanya hivyo. Nilichosema ni kuwa serikali inalaani vitendo vya utekaji na vitendo vyovyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.