kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Jichimbie huko dongobeshi hutuba zako zaleta taharuki. Bila kauli yako nchi yaongozwa heheee

    Mwaona! Nchi yaenda kama dege lisilo na rubani. Heheheee! Kama mazuri na bado sijacheka. Hutuba zako hakuna wakusikiliza na walahi Kila ukijitokeza utazua taharuki. Mayii! Watu hawakupendi na wajua hilo. Siku hizi wewe ndio wataka picha na wasaidizi wako ili upate trending hehehe na zote zabuma...
  2. Life2

    JamiiForums Tanzania Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

    Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume. Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati. Vijana wale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  4. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
  5. Egnecious

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kauli za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa; Tanzania kama nuru ya amani, umoja na usalama duniani

    TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI Na GULATONE MASIGA Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli 'TATA' ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ''Mimi ni mkristo Mkatoliki..., mtanizoea taratibu'

    Akitoa salam za pole Mh. Nchimbi alisema yeye ni Mkristo Mkatoliki hivyo watamzoea taratibu. Wakumzoea taratibu ni waombolezaji au wale wote wanaosema yuko kimya kwa yanayoendelea nchini kuanzia mauaji ya tarehe 29? Alisema kwa taratibu za kanisa Katoliki Baba Askofu anapokuwepo Makamu wake...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi hii kauli

    Watu wengi au karibia watu wote hutumia hii kauli. Je ni sahihi? Nilimkuta hayupo Unamkutaje mtu alafu mda huo huo anapotea Wajuzi wa lugha tupeni muongozo, hii imekaaje?
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Samia 'Who are You' ilikuwa siyo ya kiungwana wala kidiplomasia, tunatengwa na dunia

    Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi. Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine...
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  14. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuwa “tumejipanga kuwakabili waandamanaji wakati wowote”

    Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa: Ni kisingizio...
  15. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuwa “tumejipanga kuwakabili waandamanaji wakati wowote”

    Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1. Sababu ya kutumia “nguvu kubwa” kwa sababu waandamanaji walitumia nguvu kubwa: Ni kisingizio...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  17. Tonny Kapola Gas Station

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje" 2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe" 3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  19. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
Back
Top Bottom