kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taja kauli moja ya kibabe sana ambayo haikosekani kwenye daladala

    Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini Prof. Kabudi jana na nitamuamini kesho kwa uzalendo wake

    Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa. Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

    Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi. Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu kuadimika kwa Dola nchini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa kulinganisha na nchi zingine. kutokana ná mikakati iliyowekwa na serikali. Alitoa, kauli hiyo jana wakati...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kujadili kauli tata za Balozi Karume

    Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu viongozi wa chama hicho kukosa uhalali wa wananchi kuongoza Zanzibar. Ali Karume aliyegombea mara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ally Karume kwamba Dkt. Mwinyi na CCM hawajahi kushinda uchaguzi Zanzibari itajibiwa na akina Lusinde na Musukuma?

    Mtoto wa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibari amelipuka na madai kuwa Dr Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibari na CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote Zanzibari tangu uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Tanzania. Ally Karume ni mtu mkubwa kwa siasa za Zanzibar na Tanazania kwa ujumla na...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Urusi yamtishia Seneta wa Marekani kwa kauli yake ya kejeli dhidi ya Urusi

    Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani. Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta...
  13. JamiiForums Tanzania Zijue Kauli mpya za Kujitetea za wana Yanga SC baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USM Alger FC

    1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali 3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe 4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo...
  14. JamiiForums Tanzania Specialist wa Range Rover anawezaje kuzungmza kauli kama hii?

    Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka. Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video. 👇🏾 Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuitazame kauli ya Ally Kamwe kwa upande wa pili wa Shilingi

    Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili. Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa ufahamu wanaweza kukuzoea wakakuchukuliwa poa kwahiyo wakati mwingine ni kuishi nao wanavyotaka wao. Juzi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kauli za watu tunazotaka kuzisikia

    Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi: Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele Ameyatamka TAL rais wa wapenda haki hapa nchini. Katiba mpya ni sasa tuunganishe nguvu zetu. "Tunahitaji kupambana na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume heshima yetu kauli mbiu yao ni kuwa tuwapelekee moto

    Hello, Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine tutajua mbele. Pamoja na kauli mbiu yetu tukufu ya kutafuta pesa na kuvimba kwenye matumizi. Wito wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya Tanzania kuingia uchumi wa kati Dr Philip Mpango wakati huo ulikuwa waziri wa Fedha, imeishia wapi ?

    Mwenye kuweza kutuambia ile kauli mbiu imeisha wapi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo tuheshimu kauli ya Rais, lakini ni ile isiyokinzana na sheria! Vinginevyo tutatembea gizani

    Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na kutokuitii katiba ambayo imemweka madarakani. Huo ni upande mmoja wa shilingi. Upande wa pili ni kwamba Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…