katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mwiko katika biashara

    Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa... Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania MSIGANO wa HAKI na AMANI katika Jamii (RIGHTS & PEACE Friction in a Society)

    Wakuu, Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi RIGHT AND PEACE Which one comes first? Both rights and peace maintenance are crucial, and prioritizing one over the...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya ni Maeneo Matatu ambayo Katika Uislamu unaruhusiwa KUSEMA UONGO - (GHILBA) na wala si dhambi

    Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
  5. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  6. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Ijue Practical Meaning na Nafasi ya Resilience Katika 4Rs za Rais Samia

    Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza mchezo wa wait and see—time will tell. Neno Resilience linatokana na neno la Kilatini (Latin)...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
  10. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    JamiiForums Tanzania Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawatoi matamko katika maswala ya Waislam?

    Wakati wa mahakama ya kadhi Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ? Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam. Swali lini CHADEMA imewapigia...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  15. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wetu Katika Uislamu - Tahadharini

    Baadhi ya Mashehe sasa wamekuwa wakijiingiza katika mambo ya aibu ndani ya mitandano na youtube Tvs. kwa kweli kinachoingia mjini na wao utawaona wapo katikati na haswa haya mambo wasanii ,utawaona wapo msitari wa mbele na wao wakitowa fatuwa. Watu hawa wasanii ni waislamu jina ,na hawana...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Magaidi waua watu takribani 30 Kashmir, India katika shambulio la bunduki Modi akiwa Saudia Arabia

    Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24. Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

    Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote. SSH kuwa makini Sana.
Back
Top Bottom