katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake. Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano. Namshauri SSH...
  2. K

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  3. Tabora: Mbunge Jacqueline Kainja katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa Ndg. Jokate Mwegelo

    Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga. Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
  4. S

    Ni yapi majukumu au kazi ya Katibu Mkuu Utumishi?

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  5. Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  6. S

    Majukumu ya katibu mkuu utumishi

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  7. Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  8. Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  9. Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

    Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo. GAME OVER.
  10. Katibu Mwenezi Paul Makonda anaelekea Buseresere Muda huu alakiwa na maelfu ya vijana

    📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati akipita na Msafara wake akitokea Chato Kuelekea Geita Mjini Kwenye Mkutano wa Hadhara Leo Tarehe 11...
  11. S

    Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  12. Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  13. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  14. Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  15. S

    Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  16. Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  17. K

    Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  18. Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  19. Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  20. M

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…