Jipatie Katiba, Kanuni na nyaraka muhimu za Taasisi yako

Dropout

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
642
530
Hello jf

Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya)

Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana na wakati, huku ukijipatia faida zilizoanishwa hapa;

#kuwa na nyaraka hizo kutakusaidia kuweza kusajiliwa na mamlaka husika za serikali

#nyaraka hizo zitasaidia kupata wahisani na wafadhili

#nyaraka hizo zitaondoa mgongano na migogoro katka taasisi yako hasa kwenye mambo ya utawala na uchaguzi

#nyaraka hizo zitavutia na kuongeza waamini na wanachama zaidi

#utapata kumaterialize na kutunza nyaraka za maono ya taasisi yako katika softcopy inayoweza kutu za nyaraka kwa karne na karne

USISITE GHARAMA NI NAFUU SANA.
PIA UTASAIDIWA KUFUNGUA MAOMBI YA SCHOLARSHIPS
NA MASUALA YOTE YA USAJILI ORS BRELA
Piga simu
0684045889
0754299089
wa.me/+255754299089
email: azaneliud75@gmail.com
all.works.eliud@gmail.com
 
Mkuu huu waraka kwa watumishi wa serikali naweza kupata? Na. CAC.451257l01lDl140 wa tarehe 30. Novemba ,2010
 
Back
Top Bottom