katiba

  1. JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  2. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki. Mhe. Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka...
  3. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

    Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba? Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa: Hakuna Chama cha siasa wala Mwanasiasa anaeipenda katiba ya Warioba

    Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka. Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana. Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila ikitokea na wao wakapata madaraka ndani ya katiba hii hii, msitegemee tena katiba ya Warioba. Sahauni...
  8. JamiiForums Tanzania Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Unataka mtanzania awe mzalendo waikato anashuhudia uvunjifu wa katiba hadharani

    Habari, Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja na wakuu wa nchi akiwemo SPIKA wa bunge na hata RAISI mwenyewe. Hao viongozi wengine ndo hawasemeki...
  10. JamiiForums Tanzania Raia wa kawaida nitafunguaje kesi dhidi ya mtu anayevunja Katiba ya Tanzania?

    Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja. Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo katika hili please share. Mimi na wenzangu kadhaa tumedhamiria kwa dhati kabisa kufungua kesi dhidi...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujumuishwa kwenye mitaala ya elimu nchini

    Niwieni Radhi, mada ni: Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini. Nawasilisha. Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wengi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hawaijui katiba yao na wengine ata kuwa nayo...
  14. JamiiForums Tanzania Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea. Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi. Iwe kwa mtutu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

    Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki. Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo. ----- “Nikipata nafasi...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

    Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana. Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda. Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
  17. JamiiForums Tanzania CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa. Kimesema katiba hiyo imewezesha kufanyika kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atakubali aibu kuwa alivunja na kuisigina katiba?

    Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani. Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zito yupo kimya sakata la uvunjwaji Katiba lilifanywa na Spika kupitia wabunge 19 wasio na chama?

    Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi. Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni mbobezi Kama ifuatavyo; Kwanza, linakosa usimamizi na utetezi wa kisiasa kwa sababu mfumo wa nchi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Rais Samia Suluhu asingevunja Katiba?

    Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja kukosa uhalali wa kuwa wabunge.. wengi wao walitegemea Mh Raisi akalikemee Jambo Hilo bungeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…