katiba

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini FAM alibadilisha Katiba ya Chama Mwaka 2006 ili atawale milele na Kuondoa ibara ya 6.3.2 (C)

    Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano. Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani.. Tujikumbushe Kidogo... Jumatatu, Juni...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwa katiba iliyopo, still Lissu anaweza fanya harakati bila Chama, hilo linashindaka pia? Kuitisha maandamano huhitaji kuwa kwenye Chama cha siasa

    Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako. Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wizara ya Katiba yatangaza kuwafunda viongozi wa Serikali za Mitaa kuhusu Utawala Bora

    Wakuu, Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu anapata madaraka kwanza alafu mafunzo yanafuata baadae =========================================================== Wizara ya Katiba na Sheria imetoa elimu ya utawala bora na masuala ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa na kamati za usalama...
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TUGHE yalalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Nchi

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu wamekiuka katiba ya chama chao

    Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao. 6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne; (a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera. Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama (b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya vikao vikuu. Kamati za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi nini dhamira gani ilimsukuma Kikwete kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba miaka ya 2013-14!?

    Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi. Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, katiba ina semaje kuapisha viongozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar?

    Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu. Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na...
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Mbowe: Tumeshindwa, tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao

    Tumeshindwa,tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Palikuwa na uamuzi na miito ya kutokushiriki chaguzi bila katiba mpya. Ya nini kulia lia sasa?

    Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo? Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk? Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20? Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
Back
Top Bottom