katiba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya katiba ya JMT

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, licha ya kuwa msingi wa utawala na sheria nchini, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zimeibua mijadala kuhusu umuhimu wa kuifanyia marekebisho au kuandika katiba mpya. Baadhi ya mapungufu yake ni pamoja na: 1. Madaraka...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kipengele gani cha Katiba ya Tanzania kinachopiga marufuku uraia pacha?

    Ni sehemu gani katika Katiba ya Tanzania inaposema ukiwa raia Mtanzania ukachukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umepoteza uraia wa Tanzania?
  3. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi katika ibara ya 40 inamruhusu Rais Samia kugombea 2025

    Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
  8. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Hongereni Chadema kwa kufanikisha maandamano, ninaomba mpokee ushauri wangu

    Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
  10. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Freeman Mbowe yupi? Yule wa bunge la katiba? Au huyu wa sasa kibogoyo asiyeweza kung'ata?

    HUYU NI MBOWE YUPI? Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba. Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa! Yes! Ni MBOWE...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania TLS: Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu uteulizi wa aina hii?

    Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila. Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  16. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania "Mbowe must go " ni kuibananga katiba ya Chadema.

    Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"... Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo. Katiba ya Chadema iheshimiwe Katiba ya CCM nayo hivyo. Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi..... Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

    Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  19. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulimwengu wa tatu tuna unafiki sana. Maneno mazuri ila matendo yake ni ovyo

    UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeazimia kwa dhati na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na maridhiano: NA KWA KUWA kanuni hizo zinaweza tu kutekelezwa katika jamii ya kidemokrasia...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni lini Katiba ikakoma kuwa kitabu tu?

    Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi. Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza...
Back
Top Bottom