katiba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  2. Noel france

    JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Samia alishasema Katiba ni Kijitabu tu. Msitegemee Jipya toka kwake

    Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma. Na sasa anafanya kwa vitendo. Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu. Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
  5. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

    Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  10. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

    Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado..... Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania PolePole alipaswa kuisoma na kuielewa Katiba ya CCM IBARA YA 99 (2 na 3)

    Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Katiba iliyokuwa inapendekezwa ilikuwa mbaya

    "Kwangu mimi na wenzetu Watanzania kuahirishwa kwa Kura za Maoni ilikuwa jambo kubwa na la msingi kabisa kwasababu, Katiba inayopendekezwa ilikuwa mbaya" "Naamini Katiba inayopendekezwa na Watu"
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

    Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!. Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !! Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili. Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya 1977 inaendana na Dira ya 2050?

    Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025? Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050? Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali? Je, Katiba yetu inalindaje utekelezaji wa dira 2050. Je kama utakwenda kinyume na dira utafanywa...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
Back
Top Bottom