“Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.”
Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.
Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza kabisa legitimacy yake ya kikatiba. Limegeuka kuwa a ceremonial rubber-stamp institution, linalotumika...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria
Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi
https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India
In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
JE WAJUA?.
Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA.
Picha hii ilipigwa...
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine.
Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga.
Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana.
Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza.
Lakini baada ya muda aliyepiganiwa akaanza dharau ya hiyo katiba na kuiita kuwa ni KITABU tuu kwa...
Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa.
Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c...
Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga;
1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiangalia namna Rais Samia anavyoongoza Taifa letu katika muelekeo sahihi na wenye kuleta matumaini. Nikiangalia namna maendeleo makubwa na mambo makubwa yaliyofanyika hapa Nchini ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake. Nikiangalia namna Taifa lilivyo tulia na kupiga...
Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa
===
Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki.
Bashe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.