katiba mpya

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni kete kwenye ilani ya CHADEMA 2025

    KATIBA MPYA NI KETE KWENYE ILANI YA CHADEMA 2025. Leo 09:15hrs 07/07/2021 Je CCM itakuja na agenda hii kwenye ilani ya kutafutia kura? Je tumeutafakari uzuri na ubaya wa katibs tuliyonayo!? Je tumeshatafakari uzuri na ubaya wa katiba Mpya tunayoitaka!? Katiba tuliyonayo haikutuvusha wakati wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Case study kuhusiana na mjadala wa Katiba Mpya

    Hoja: la muhimu zaidi ni heshima kwa sheria, na kwa vile Katiba ni sheria mama, basi heshima husika iwe kwenye sheria zilizomo kwenye katiba. Hali ilivyo sasa: ni kweli katiba iliyopo ina mapungufu mengi. Na ni kweli kuwa mapungufu hayo yanaathiri maeneo mbalimbali hususan haki za...
  4. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

    Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia. Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
  5. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na hatma ya Taifa letu

    Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa yetu ya kiAfrika, huku nikimshukuru Mungu kwa hali ambayo bado tunayo Tanzania kama Taifa. Jamaa...
  6. Frank Mbiligenda

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya

    Hivi sisi wanachi tunaulazima wa kudai katiba mpya ili hali wanasiasa washaanza kurumbana?
  7. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa mstari wa mbele kudai Katiba Mpya baada ya kupata vyeo leo wanaipinga

    Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa. Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Uamsho ilikuwa ni suala la kuwaandaa watu na Katiba Mpya

    Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya. Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wana CCM, Katiba Mpya iliyorekebishwa ni kwa mustakabali wetu sote

    Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano. Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano: 1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

    Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana. CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba. Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma. Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

    Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo; 1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa. 2...
  12. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM kwa busara, sikiliza na ikiwapendeza mfuate ushauri huu juu ya katiba mpya

    Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya, Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mnyukano wa wanasiasa kikwazo Kikuu cha Katiba Mpya

    Kikwazo kikuu cha kupatikana kwa katiba mpya hapa nchini Tanzania ni mnyukano wa wanasiasa. Wapinzani wanaitaka katiba mpya kama chombo cha kuwasaidia kuitoa ccm madarakani. Ikiwa mantiki iko hivyo hata wewe ungekua CCM usingekubali. Kwa upande wa ccm wanaona hii katiba inawasaidia kuitawala...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

    Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki. Nikaongeza ni suala la muda tu makundi mengine yataibuka na kuunga mkono agenda ya Katiba Mpya. Huyu keshaanza...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Mzee Kikwete alisikia kilio cha Katiba Mpya, lakini walewale waliokuwa wanadai walikimbia

    "Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu

    "Chama cha siasa huanzishwa kuwaleta pamoja watu wenye mawazo na sera zenye kufanana. Lengo kuu ni kuleta ustawi wa watu. CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu. Nakubaliana na Mhe. Rais, kwa sasa tukomae na ustawi wa uchumi, Katiba baadaye!"- Mh. Kigwangalla ===...
  18. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hoja tano ngumu za mchakato wa Katiba Mpya kuanzishwa tena

    Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye changamoto nyingi za kiutawala, kiuongozi, kisiasa, kijamii na kiuchumi hivyo uwepo wa mahitaji mapya ya...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye suala la Katiba Mpya haya ndio matokeo yake

    Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake. Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania. Someni wenyewe hichi alicho...
Back
Top Bottom