katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Kabudi ni wakati wa kunyamaza; karma ikikunyamazisha familia yako itafedheheka sana

    Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi mpaka alivyoteuliwa kuwa mbunge. Ni muandishi wa machapisho mengi kuhusu katiba pia. Hiki ni kipimo...
  2. JamiiForums Tanzania Siungi mkono CHADEMA kuingilia mjadala wa kudai Katiba Mpya

    Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba. Mimi ni mmoja ya watanzania wanaotamani kuona kama taifa tunapata Katiba mpya inayotokana na maoni ya Watanzania...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: CHADEMA wana Options zipi?

    CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa. Rais Samia kajipambanua kuwa hataki dhuluma bali anataka usawa na haki kwa wote. Mama ameonyesha utayari wa kuonana na makundi...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

    Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Katiba mpya ni hisani ya Rais, akitaka atatekeleza

    Mama samia akiamua mchakato wa katiba mpya kwa sasa itakuwa kafanya hisani tu na wala isisemwe ni takwa la wananchi. Ilani ya chama cha mapinduzi hawakuahidi katiba mpya hivyo haipo katika mambo ambayo wanatakiwa wayatekeleze. Kama ambavyo watu wanawaponda wana CCM kwamba kuna mambo katika...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni sasa

    Huu ni wakati ambao katiba mpya haikwepeki. Kutokana na mazingira ya hivi karibuni wahitimu ni wengi kuliko ajira tulizo nazo na CCM imeshindwa kuja na mbinu mbadala ya kukabiliana na wimbi hili. Lakini pia rasilimali ni nyingi kuliko wahitimu tulio nao kwa maana nyingine vijana tunahaki...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Elimu ni kwa Wasioelewa - Ushuhuda

    Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na: 1. uelewa usio sahihi, au 2. maslahi kwenye katiba iliyopo. Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako sana mkuu: (comment #95) Uzi: CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati...
  8. JamiiForums Tanzania Ni fedheha kubwa sana kwa Chama kikongwe kama CCM kuogopa kabisa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

    Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya kufunika uso kuiogopa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Uchunguzi unaonyesha kwamba viongozi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi, wananchi wanahitaji katiba mpya zaidi ya unavyodhania. Unajiabisha kudai ipo madhubuti kulinda mipasuko ya kisiasa

    Ni aibu kubwa kwa mawanasheria nguli tena Profesa kukomaa bila hata aibu eti hii katiba ni madhubuti kisa tu baada ya msiba wa Hayati JPM hakukutokea rabsha. Hivi kama tungekuwa na katiba inayohitaji uchaguzi ufanyike baada ya Rais kufariki kungetokea maasi? Watu wasingefuata katiba...
  10. JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

    Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na...
  12. JamiiForums Tanzania Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

    CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'. CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Katiba mpya tulipo na tunakokwenda

    Kama ni kipyenga tayari kimekwisha pigwa. Mtizamo wa serikali unajulikana kama ulivyo kwa sasa wa CHADEMA. Hadi sasa haipo tarehe wala uelekeo wa lini Rais anaweza kukutana na Chadema kama chama. Ni wazi kuwa msimamo wa serikali haukuwa wa bahati mbaya. Ambapo hakukuwa na sababu ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

    Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
  17. JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha na kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM) ndiye atakaesimamia kukamilika kwake

    Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...! Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia kusimika kwake au kukamilika kwake. Ijapokua uhusika wake sio wa moja kwa moja. Mungu ni mwema, ukifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi ndivyo ATCL wanavyokuza uchumi wakati tukisubiri Katiba Mpya?

    Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili. Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao...
  19. JamiiForums Tanzania Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  20. JamiiForums Tanzania Tuweke vyanzo vipya ili tuipate Katiba Mpya

    Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi " hapana tunaomba swala KATIBA MPYA liwe letu sote na kama linafukuta kiasi hiki sasa tuliwekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…