kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimesikia kuna mbunge eti ameambiwa haamasishe haki na demokrasia yeye amewahusisha JWTZ kuingilia kati kuwatishia Ulaya au nimesikia vibaya ?

    Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu. Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ? Nimesikia...
  2. JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya Kamusi ya TUKI na BAKITA, nichukue ipi kwaajili ya kuwa konki kwenye Kiswahili?

    Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha. Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa kamusi, nichukue ipi kati ya TUKI na BAKITA na kwa mwenye uzoefu, uniambie ni yupi mwenye chapisho jipya...
  4. JamiiForums Tanzania Uiengereza yasema itaingilia kati kuikoa India baada ya kupata hasara kubwa siku ya mwanzo tu ya vita

    Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

    "Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara. Chanzo Taarifa: manaratv Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti gani kati ya kuwa Introvert, kupenda kujitenga na kuwa mkimya ?

    Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
  7. JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapaπŸ‘‡ Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapaπŸ‘‡...
  8. JamiiForums Tanzania Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Adamu alikatazwa kula tunda gani? isije kuwa mti wa kati ni huu aliokuwa nao Eva) Hawa sisi vijana wa sasa tunahangaika nao

    Yesu alikufa bikra wa kiume hakutaka kujushughulisha na hisia,aliishi kukemea na kuabudu. tunapata picha kuwa sex ni inshu ya energy consuption ibilisi anaweza akakukosa wewe na akaingia kwa mwanamke na akaweza kutrap your mind. Inawezekana mungu alimkataza Adamu asilisogelee tunda lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  11. JamiiForums Tanzania NAIONA SIMBA IKIPAATA KADI NYEKUNDU AMA IKIADHIBIWA PENALTY WACHAGUE KATI YA HAYO

    SIWATISHI HALI YA SASA ILIYOPO VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA WA MKAPA HALI YA SOUTH SIO RAFIKI KWAO KUANZIA CHAMA NK WAMEJIPANGA HII TIMU KUPITA KWENDQ...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FCπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  13. JamiiForums Tanzania Vatican ni mfupa mgumu, wamekataa kusalimu amri kwa Wakomunisti wa China kwa miaka zaidi ya 70 sasa

    Mpaka leo hii China bara hakuna uwakilishi wa rasmi wa Kanisa Katoliki la Roma, shughuli zao zinafanywa na "underground church" ambalo ni kanisa la mafichoni na lisilotambuliwa na serikali ya China. Kanisa Katoliki la Taiwan ndili linalotambulika rasmi kama kanisa la China japo serikali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi waua watu 56 eneo la kati la Nigeria.

    Ni muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko Nigeria katika mkesha wa pasaka.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

    Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri. KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Habari Wana JfπŸš€ Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! πŸ™Œ Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye β€œhero” level, lakini niko njiani, na...
  19. JamiiForums Tanzania Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

    Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi. Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

    Wakuu, Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy. Kwa Dar es salaam. Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…