Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

Wahuni kwenye 1 na 2
Kama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.

Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?

Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.

Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.

Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.

Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
 
Condom ni bora zaidi sababu
1. Inakuzuia kupata UTI, GONO, HIV& kumpatia au kusingiziwa MIMBA.

wakati HIV test inakupa taarifa ya afya ya mhusika ni -ve/+ve. swali ni je? kama maambukizi ameyapa siku chache ambapo test haiwezi detect. Maana yake utaukwaa!
Kwangu kondomu ni bora kama mtu wa one night stand up ila nikihitaji mahusiano serious lazima tufanye Chek up ya afya.
 
Kama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.

Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?

Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.

Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.

Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.

Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
Daah hii kweli mkuu
 
huyohuyo Amina wako unaemwamini ndo atakuja kukuchomolea betri
 
huyohuyo Amina unaemwamini ndo atakuja kukuchomolea betri
Acha Amina aniue mkuu.
Watu wanakufa Kila siku
Kwa ajali,
watu wanakufa kwa Saratani,
watu wanakufa kwa matatizo moyo.

Watu wanakufa kwa kuteswa na vyombo vya ulinzi na usalama.

Kwahiyo mimi nikifa Kwa sababu ya Amina hakuna cha ajabu, ni Mnyororo ule ule wa kifo Kila mtu unampitia Kwa mazingira yake.
 
Kama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.

Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?

Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.

Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.

Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.

Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
Uko sahihi, ila je huyo nae m1 ni muaminifu??
 
Back
Top Bottom