kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa zimesahauliwa kwenye mwendo kasi

    Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.
  3. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baada ya line kuzimwa leo utapeli huu utashamiri kwa kasi ya ajabu

    Moja kwa moja.. Nimeona tangazo kutoka serikali kuwa leo tarehe 13 line zote zisizo hakikiwa zinaenda kuzimwa. Kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya unaonyesha Watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu zoezi ili kuanzia madhumuni yake ,jinsi ya kuhakiki nk.. UTAPELI UTAKUJA KIVIPI ? Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti IMF: Matarajio ya Ukuaji Uchumi yabadilika, kutakuwa na Ongezeko la kasi

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei. Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendo Kasi Dar zimeanza kutumika leo 16.1.2023

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

    Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia: Rais Samia anatekeleza ilani ya CCM kwa kasi

    Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wazee wanaooa mabinti wadogo wanaweza kwenda na kasi ya mabinti?

    Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
  12. JamiiForums Tanzania Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

    Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine. Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
  14. JamiiForums Tanzania China: Maandamo ya kupinga Sheria za COVID-19 yashika kasi

    Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

  17. JamiiForums Tanzania RPC Rukwa: Vitendo vya ulawiti vinashamiri, vikemewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limewataka wananachi kukemea na kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya Ulawaiti ambavyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku na kuwasababishia watoto madhara makubwa ya kiafya hali itakayosaidia kulinda Afya za watoto na kukuza maadili kwa jamii. Baadhi ya waumini...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu dada anayeendesha chuma cha Mwendokasi yupo vizuri

    Naelekea stendi ya Magufuli nipo Katika Chuma moja ya Mwendo Kasi na inatembea vizuri na Mwanamke ni dereva unyama Ni Mwingi .
  19. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…