Spika Dkt. Tulia: Rais Samia anatekeleza ilani ya CCM kwa kasi

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo cha afya ambacho tayari kimejengwa na kinafanya kazi, baada ya Rais Samia Suluhu kupeleka Tsh Milioni 500 za ujenzi.

Lakini pia Rais Samia Suluhu amefanikisha uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara inayowasaidia wananchi kurahisisha shughuri za kiuchumi na amefanikisha ujenzi wa lililokuwa ni kero kubwa na kusababisha vifo mwaka 2019 ambalo limejengwa la kisasa.

Katika mkoa wa mbeya pia Rais Samia Suluhu amefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vitakavyowasaidia wanafunzi katika kuanza masomo kwa pamija bila kusubili second selection.

Sio kwa mkoa wa mbeya tu Tanzania nzima Rais Samia Suluhu ametekeleza ilani ya uchaguzi 2020-2025
 
Huu ni upuuzi, tangu mwaka 61 ilani ya CCM ni madarasa, madaraja, vyoo.
Hali ya uchumi haimuhusu kabisa Samia na hicho kibibi kikavu.
2025 wapishe wengine, washenzi kabisa.
 
Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo cha afya ambacho tayari kimejengwa na kinafanya kazi, baada ya Rais Samia Suluhu kupeleka Tsh Milioni 500 za ujenzi.

Lakini pia Rais Samia Suluhu amefanikisha uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara inayowasaidia wananchi kurahisisha shughuri za kiuchumi na amefanikisha ujenzi wa lililokuwa ni kero kubwa na kusababisha vifo mwaka 2019 ambalo limejengwa la kisasa.

Katika mkoa wa mbeya pia Rais Samia Suluhu amefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vitakavyowasaidia wanafunzi katika kuanza masomo kwa pamija bila kusubili second selection.

Sio kwa mkoa wa mbeya tu Tanzania nzima Rais Samia Suluhu ametekeleza ilani ya uchaguzi 2020-2025
Hata kurudi nyuma pia ni kasi
 
Hilo halina ubishi wowote
 
Back
Top Bottom