Msaada: Dawa zimesahauliwa kwenye mwendo kasi

Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.
Apo lazima wamefagia nunua zingine tu
 
Mfuko wa karatasi ya kaki wenye dawa muhimu umesahauliwa leo 15 Feb saa 10 alasiri kwenye mwendo kasi toka Morocco kwenda Kimara. Kama umeuona tafadhali piga simu no 0742957797. Ahsante.

Ulitakiwa hili tangazo ukaliache pale morocco kwenye mwendokas ingekuwa poa kama unatak kutangaza mtandaon bad hadi insta tangaza wajue
 
Back
Top Bottom