Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa

Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini

Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe

Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya mafuta.

Tunaimani wakianza basi mamlaka husika mtaruhusu pia yale. Maombi ya kuongeza nauli basi za kawaida

Ukraine@work
 
unaandika unakimbia daladala ndio ziloanza kupndisha nauli mfano nauli ya 400 sasa ni 500 wapandishe mara ngap
 
Yani uko bongo then unauliza maswali ya kijinga kijinga , nyie wamiliki wa daladala mna matatizo sana nyie, hujasikia kama kesho jumatatu ndio nauli mpya za mwendokasi zinaanza?

Sasa kama huo mradi tangu uanzishwwe hawajawahi kupandishiwa nauli wewe unadhani wanajiendeshaje? we jamaa ni kilaza sana wewe
 
Huna akili

Mwendo kasi ni huduma
yani uko bongo then unauliza maswali ya kijinga kijinga , nyie wamiliki wa daladala mna matatizo sana nyie, hujasikia kama kesho jumatatu ndio nauli mpya za mwendokasi zinaanza? sasa kama huo mradi tangu uanzishwwe hawajawahi kupandishiwa nauli wewe unadhani wanajiendeshaje? we jamaa ni kilaza sana wewe
 
Huna akili

Mwendo kasi ni huduma
Nenda sasa kituoni na miasita yako na hamsini uone kama mimi na wewe nani hana akili, utumbo jazz band wewe kuna huduma inayotolewa bure, hata kunya na kukojoa mnalipia sembuse usafiri, usirukie vitu usivyovijua fisiemu wewe. acha makasiriko nauli zimepanda shilingi 100 na 50 tu povu linakutoka mlipoambiwa mnawekewa tozo kwwenye luku wala hukumaindi shuwaini
 
Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa

Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini

Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe

Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya mafuta.

Tunaimani wakianza basi mamlaka husika mtaruhusu pia yale. Maombi ya kuongeza nauli basi za kawaida

Ukraine@work
Na mwenye gari nae apate
 
Back
Top Bottom