karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Unapopata nafasi ya kuwa karibu na Viongozi zingatia haya

    UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa wanaokuzidi maarifa/ elimu / kipato / kipawa / ushawishi / mvuto / cheo, kwa lengo la kupata nafasi ya...
  2. Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Wizara ya Nishati imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.88 kwaajili ya matumizi ya Maendeleo, Matumizi ya Kawaida na Mishara ya Wizara hiyo pamoja na Taasisi zilizo chini yake kwa mwaka 2024/25 ambapo Kati ya Fedha hizo, Tsh. 1,536,020,274,000 ni fedha za ndani na Tsh. 258,846,558,000...
  3. Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  4. SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta. Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
  5. A

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu, Mapinga karibu na Eplas

    NAUZA KIWANJA CHANGU 📍Site located at Amani Mapinga Near EPLAS RECREATION 🧵Umbali: 👉 5 km kutoka Bunju 👉1.8 km kutoka Bagamoyo Road 👉2 km kutoka Baharini.(PLOT NEAR BEACH) • Kiwanja kinagusa barabara kubwa ya mtaa • Kiwanja kina nyumba ndogo ndani yake yenye vyumba viwili na sebule • Pia...
  6. B

    TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  7. T

    Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

    Habar za jumamosi wana-jamiiforums, Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo...
  8. Karibu Autorex Garage Iringa

    nHabari zenu wakuu kwa aliepo iringa au kama unatarajia kufika iringa. Nakukaribisha autorex garage iringa napatikana Mshindo jilani na benki ya NBC. Huduma zinazo patikana ●Oil change ●kuziba pancha ●kujaza upepo ●kubadilisha matairi Na matengenezo mengine ya gari yako 0755539092 0788887129
  9. Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  10. M

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
  11. Nafanya Graphics Designing and Video Editing karibu!

    Karibu Tunahusika na utengenezaji wa *Mabango *vipeperushi *kadi za namba za simu *Makava ya nyimbo *Kadi za mialiko za kisasa Njoo whatsapp Nehemix tz
  12. Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  13. C

    Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

    Care Giver (Mlezi) ■Mimi ni nani? ■MAJUKUMU YANGU NI YAPI? ■Kwa sasa nipo tayari kutoa huduma mkoa wowote ndani ya Tanzania. Mawasiliano: 0683 856087 NB: Naomba share na wanaohitaji huduma hii najua watu wanamajukumu na hapo hapo wanahitajika wa watu wao wanaohitaji uangalizi wa karibu...
  14. KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

    Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
  15. PreGE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

    Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka . Tunakutakia Kila la heri huko uendako
  16. Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM. Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa. serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala...
  17. Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (0687746471) Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi. Namba zangu za simu ni 0687746471 Huyu mtu anayeniuziaga simu namwamini sana ameanza kuniuzia simu tangu 2019 mpaka sasa naagiza...
  18. Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia amerogwa huyo siyo akili zake

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
  19. Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine. Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu...
  20. J

    Plot4Sale Uwanja unauzwa Mlimwa "C" karibu na makazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania. Millioni 50

    🥀SEHEMU:-MLIMWA "C" MKOA:- DODOMA MJINI 🏀Kina fensi upande mmoja 🍀UKUBWA WA UWANJA:-1,091 sq.m ✅BEI:- MILLIONI 50. 🇹🇿MAWASILIANO:-0622 599 002
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…