Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Shangazi yangu aliwahi potelewa na binti yake mkubwa tu, mpaka sasa ni zaidi ya 20 years hajulikani alipo.

Mwanzoni walihisi labda kaenda kwa mwanaume, lakini kwa umri wake sidhani kama angezuiwa kuolewa maana alikuwa ni mtu mzima tayari. Lakini pia, kama kajiozesha, sio normal kukaa kimya miaka yote hiyo.
 
Siku moja nipo Chalinze huko kata ya vigwaza, kijiji cha kuitwa Chamakweza mara naoneshwa kijana boda boda aliokotwa Ramboni na wamasai akiwa mtoto mdogo wa kutambaa, wamemlea mpaka kakua na ana mishe zake hizo za Uafisa usafirishaji ila ndguze wa damu hawaajui
Vipi wewe ni mwenyeji wa chamakweza? Naweza pata ekari hata 3
 
Back
Top Bottom