kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Niwapi nina weza pata

    Niwapi nina weza pata HISSOP_HISOPO FRANKINCENSE-UBANI MYRRH_MANEMANE na mafuta ya mzeituni
  3. JamiiForums Tanzania KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

    Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa. Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
  4. JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar

    Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
  5. JamiiForums Tanzania Wauzaji suruali aina ya boss kariakoo

    Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
  6. JamiiForums Tanzania House4Rent Kariakoo: 4th Floor 3 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  7. JamiiForums Tanzania House4Rent Kariakoo: 1st Floor 2 Bedrooms Apartment For Rent - Dar

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  8. JamiiForums Tanzania Dulla makabila ameanza kuhofia Udiwani wa Haji Manara kata ya Kariakoo

    Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara “Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye Dabi tano za Kariakoo kuanzia 2025 hadi 2030 Utaratibu uwe huu

    Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji. Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea Kariakoo Dabi

    Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Ni utaratibu siku moja kabla ya...
  11. JamiiForums Tanzania Sikiliza maoni ya huyu mwamba kuhusu derby ya kariakoo na siasa zetu halafu utoe maoni yako

    Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu. Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo. Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed. Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
  14. JamiiForums Tanzania Jengo la Biashara linauza Kariakoo Mtaa wa Aggrey

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. JamiiForums Tanzania Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. JamiiForums Tanzania Maduka 68 na store zake,hapa ni kariakoo daslam tanzania 🇹🇿bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  17. JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

    Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu Kwenye hali kama hizi wasanii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa derby ya Kariakoo tarehe 25, Yanga anaongoza 2-0 nje ya uwanja

    Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh 15,,lakini kabla jogoo ajawika bodi ikatangaza kughairisha mechi na kupeleka trh 25! Sasa viongozi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…