kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 2

    https://youtu.be/JW8ruo8JwLo
  2. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

    Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana. Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo. Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimetoka jioni hii kwenye soko lililozinduliwa Kariakoo. Tuipongeze serikali na kujipongeza kwa kazi nzuri

    Tupo salama! 1. Leo katika mishe mishe zangu nilibahatika kufika Kariakoo. 2. Mara nyingi Siku ya jumapili kwangu ndio Siku ambayo napendaga Kwenda kariakoo kutokana na Jam kuwa ndogo tofauti na Siku zingine. 3. Lakini pia usafiri unakuwa hausumbu. Kama ujuavyo Sisi tusio na magari lazima...
  5. JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  6. JamiiForums Tanzania Kuelekea uzinduzi wa Soko la Kariakoo, Prof Shemdoe asema ameridhishwa na maandalizi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam. Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

    Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini. == Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati. Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko la Kariakoo mara ya mwisho tarehe 1 Juni 2021. alipofanya ziara ya ghafla, na kisha kuzungumza na...
  9. JamiiForums Tanzania Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

    Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu. Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  11. JamiiForums Tanzania A Question on Service Capacity at CRDB Vijana – Kariakoo

    CRDB Vijana Branch Kariakoo, really needs to rethink its customer experience operations. Kariakoo is one of the busiest commercial areas in Dar es Salaam, especially on Fridays when cash transactions peak. Yet customers often find themselves in very long queues for simple deposits or...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba za Kariakoo zimekuwa hatarishi kwa Afya za wananchi. Hasa mtaa wa Sikukuu. Serikali haichukui hatua yoyote

    Katika mtaa wa Sikukuu, hali ya mazingira imeendelea kuwa mbaya kufuatia chemba za maji machafu kujaa na kutema maji yenye uchafu kama inavyoonekana kwenye picha hapa, hali iliyosababisha maji hayo kuingia barabarani na maeneo ya kufanyia biashara. Maji hayo yamechanganyika na taka zilizokuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wachina kufukuzwa kariakoo

    Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara 1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi hawana Elimu ya biashara 2. wafanya biashara walio wengi ni wabinafsi 3. baadhi ya wafanya biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Kariakoo; Na majina ya Mitaa

    Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa. Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
  17. JamiiForums Tanzania KERO RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?

    Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya chemba zinazotiririsha maji taka katika maeneo ya biashara...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

    Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea. Ushawai kupotea kariakoo mdau ?
  19. JamiiForums Tanzania Hizi timu za Kariakoo ni shida tupu ila ni kama uraibu wa dawa za kulevya kwa wabongo wengi

    Kuna taarifa kwamba kuna vijana wengi wa academy ya mpira huko Mwanza waliuuwawa kikatili sana katika machufuko ya October 29 lakini hii timu haikuona hiyo ni habari na badala yake wamejikita katika taarifa za mbibi mmoja huko Botswana aliyefariki kwa kifo cha kawaida tu.
  20. JamiiForums Tanzania Hawa "ITEL EAST AFRICA LTD" siyo Sukari tu, kumbe wako hadi kwenye "Real Estate"!. Cheki mjengo wao wa Kariakoo

    Hii nchi bwana! Nilikuwa siamini hayo ya mitandaoni, lakini inakuwa ngumu kama kukwepa ngumi ya uso kwa kufunga macho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…