kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Akamatwa akiiba mkate kanisani (Eucharist), hua inafanyiwa kazi gani hii mikate??

    Wakuu kwema... Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea chai. Lakini kwanini watu hawa hua wanasubiria mikate hii ikishafanyiwa mageuzo na kua Mwili na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

    Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa. Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa. Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyinyi wenzangu Baba zenu hawakuwa na muda wa kuwashurutisha kwenda Kanisani?

    Kusema kweli, nimekuja kulielewa suala la dini vizuri nikiwa mtu mzima. Enzi za utoto wangu, marehemu baba yangu alikuwa mshika dini wa kweli—muumini mwaminifu wa Kanisa Katoliki. Hakika, haikuwa kawaida kwake kukosa ibada, iwe ni Misa ya Jumapili au sherehe nyingine za kiimani. Alikuwa mtu wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  8. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi wanadanganywa kuwa kupeleka pesa na mali kanisani ndio kumtolea Mungu sadaka!

    Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hivi kuchangisha Pesa ya kujenga msikiti kutoka wa wakristo kanisani ni sahihi ? Tuone video

    Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya Makafiri ikajenge msikiti ? https://youtu.be/dgtbhL0K8gA?si=qEayIB2FhFQcMpjs
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kanisani

    Kanisani. Kanisani{ Kurasini SDA Youth Choir }
  12. U

    JamiiForums Tanzania rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  13. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati watu wanaenda Kanisani kumuomba Mungu wawe diwani.

    Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote. Wengine wanaenda kwa waganga.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
  16. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Aina za watu na tabia zao kanisani

    Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE... Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nitaenda Kanisani kutoa sadaka maalum ya shukrani

    Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi Kilingeni nikafanye kafara lakini nikakumbuka kumbe nilishatoka huko 💪🏿🙏🏿 Bila kusema uongo mimi ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Putin hali Tete, akimbilia kanisani akitaka askari wake walioko vitani Ukraine waombewe

    Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
  19. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mchungaji Ng’ang’a azua gumzo kwa kuuza Mikate na Maandazi kwa bei ya juu, isiyo ya kawaida Kanisani

    Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi. Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo wa injili aliamua kuuza mikate na mandazi kwa waumini wake kwa bei ya juu isiyo ya kawaida. Mkate...
  20. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

    Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Back
Top Bottom