Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,071
Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.