Amefunguka Emma....
"Nataka kuoa mwaka huu, nitaoa mwanamke ambaye ni mhudumu wa Bar maana hawa wadada wanakuwaga hawana shida sana ukimwoa ukamweka ndani anatulia na maisha yake yote analeta watoto.. Hawa wa kanisani siwataki kabisa ni wakengeufu sana."
Tuliowahi kuumizwa na mademu...
Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi...
Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile...
Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja.
Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku
Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
Wakuu natumai mko salama.
Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu.
~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona...
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watu wasiojulikana ambao wanatuhumiwa kumbaka, kumuua kwa kumnyonga Martha Zacharia (40), kisha mwili wake kuutupa pembezoni mwa barabara.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishna Msaidizi (ACP) Mayila Mashenene, amesema tukio hilo lilitokea usiku...
Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.
Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.
===
Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
Polisi mjini Meru wanamtafuta mtu aliyesalimisha bunduki kanisani baada ya kutubu dhambi na kueleza kwamba ameokoka.
Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo imeandika kuwa jana Jumanne Februari 14, 2024 Polisi walipigwa na butwaa baada ya mchungaji Nathan Kirimi kufika katika Kituo cha Polisi cha...
Mwanasiasa Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations Jijini Arusha katika ibada ya shukrani, leo Jumapili Februari 4, 2024...
Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
habari wadau.
baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani
Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.