kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    Kama wewe ni Mlokole upo hapa jukwaani, chukua ujumbe huu peleka kanisani kwenu

    (i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
  2. R

    Msikilize chawa kutoka kanisani

    Askofu mmoja amesema kuwa KKKT inasemwa vibaya. Msikilize huyu chawa kutoka Kanisani Kanisa limepatwa
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Sio Lazima ufunge ndoa Kanisani au Msikitini. Kwanza huo ni Utumwa

    SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi. 2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
  4. President of China

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI USHARIKA WA KISASA DODOMA na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI...cc; BAKARI MAHUNDU https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
  5. figganigga

    GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

    Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote. Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4) Mungu...
  6. Endasak Masqaroda

    Kwanini waende Kanisani au Kuhiji Vatican na mabango?

    Habari wana jukwaa! Huko mitandaoni nimeona habari kuhusu jamaa wa LBTQ kuwa wameruhusiwa na Kanisa Katoliki kuhiji kwa mara ya kwanza huko Vatican. Nimeona pia humu kuna uzi mmoja kuhusu habari hiyo. Kuna watetea kuwa Kanisa linapokea wadhambi wote, i.e wezi, majambazi, makahaba n.k...
  7. K

    Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

    Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa. Mkuu wa...
  8. A

    Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

    karibuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza waumini wakilokole tililikeni aposto nawasikiliza naanza Mimi kanisani kwangu kunamuumini alitumia chumvi...
  9. Setfree

    Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo? Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
  10. Li ngunda ngali

    Tupo Kanisani usiku wa maombi, mhudumu wa guest ameomba atoe ushuhuda wazee wa Kanisa wamekataa

    Imenishangaza mno! Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
  11. Kijakazi

    DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  12. Parabolic

    DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  13. DuaZaMama

    Mbowe aonekana kanisani kwa mchungaji Kimaro Kijitonyama

    Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
  14. J

    Ukiona Shehe anaingia Kanisani jua hiyo ni Siasa kimaandiko kabisa lakini ukimuona Askofu msikitini ujue anawatafuta Kondoo waliopotea

    Kama unabisha kasome vitabu vitakatifu vyote viwili Shehe wa Mwamposa alikuwa sahihi Kwenu Malaria 2 na THE BIG SHOW 😁
  15. Setfree

    Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

    Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima. Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
  16. N

    Ni sawa tunapata mshiko wa Mama kanisani kwetu, lakini washirika wetu wanasemaje

    Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii. Wengi wanajisikia...
  17. F

    Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  18. kavulata

    Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
  19. Poppy Hatonn

    Simulizi za waumini kanisani: video

    Hili ni jambo Wachina wanapinga sana . Wanamwambia padre wa Kichina asikusanye sadaka.
Back
Top Bottom