kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

    Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Naomba kuliuliza kanisa katoliki linaloendesha harambee muda huu ambapo mgombea mmoja wa kisiasa ndio anaendesha harambee. Je, Tundu Lissu na yeye akiendesha harambee mtamruhusu? Siiulizi TBC hao hawana hadhi nawauliza kanisa katoliki.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

    Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa. Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema. Kwasababu ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lawataka viongozi wake kujiweka kando na Siasa

    Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika Taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge. Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo. Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

    2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein. Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
  7. JamiiForums Tanzania Juhudi za kutaka kumnyamazisha Askofu Mwamakula na Kanisa analoliongoza. hazitafanikiwa!

    Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula ni Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na pia ndiye Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani (World Fellowship of Moravian Revival Churches - WFMRC) ambapo alichaguliwa katika nafasi hii mnamo...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  10. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai

    Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne. Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
  11. JamiiForums Tanzania Kibosho Catholic Church lina umri wa miaka 130: Kwanini hili Kanisa lisiwe kivutio cha utalii?

    Kwanza kabisa nasikitika sana historia ya eneo hili kufichwa au kutokua wazi. Nimepita pita sana kila kona lakini sijawahi kuona hostoria yake. Kanisa hili lilijengwa na Wajerumani kwa mawe miaka ya 1880. Ujio wa Wamisionari hawa ulitoa fursa kwa Kibosho kuwa na sehem ya ibada, kujengwa kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge. Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala? Maendeleo hayana vyama!
  13. JamiiForums Tanzania TEC yakanusha kuondoa zuio kwenye huduma zake

    Baraza la Maaskofu Tanzania, TEC limemwandikia mhariri mkuu wa gazeti la Nipashe. Kukanusha taarifa iliyotolewa na toleo Na 0580265 la June 23, lilisomeka kuwa ‘Kanisa Katoliki laundoa zuio kwa shughuli zote’ Baraza hilo limekanusha kutoa waraka wowote wa kuondoa zuio katika kipindi hiki cha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  16. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

    Mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentecoste Mwananyamaa jijini Dar es Salaam Dr.Nasobile Mwanjejele amefariki dunia.
  17. JamiiForums Tanzania Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

    Akifunga kīkao cha Bunge jioni ya leo, Spika Job Ndugai ametangaza kuwa mazishi ya Mama Rwakatare yatafanyika siku ya tarehe 23 Aprili na yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa Moto. Taarifa rasmi zinasema mama hajafariki kwa Corona...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

    Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki. Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican...
  19. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasema ndoa zitaendelea kufungishwa ila watahusika Wanandoa na Wasimamizi wanne tu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe. “Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania linapaswa kusitisha misa

    Habari wanajamii, Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili. Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi Mpaka sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…