kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini hususan Kanisa Katoliki, Je, nikifoji cheti cha ndoa na mkajua nimefoji mtanipa adhabu gani?

    Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu. Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi? Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Mhubiri wa Kiroho Kanisa la Mwenge Mpakani: Ukiwa umelala na Ukaota unakula Chakula, jua Wachawi ( Wanga ) wanajisaida Haja Kubwa Mdomoni mwako

    Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

    Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

    Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi. Na kipekee...
  7. JamiiForums Tanzania Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

    Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua. Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Kanisa la TAG maeneo ya Lamadi, Simiyu

    Habari wakuu. Nipo kwa muda hapa Lamadi wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu. Naomba msaada kwa anae fahamu location ya kanisa la TAG lililo maeneo ya Lamadi. Natanguliza shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania Kanisa La Waadventista Wasabato na mabadiliko

    Habarini Wakuu Katika kukaa kwangu na kutafakari katika muonekano na katika biblia tunasoma siku ya sabato yapaswa kufuatwa sawa lkn nina mtazamo chanya ambao wasabato wanaupuuzia siku hizi na tunasema kuwa tunaifuata biblia 1 Suala la wanawake kuhudumu ni makosa [emoji808] ktk biblia...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

    Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

    Ila wamesahau haya: Mathayo 6:5 NEN “Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao. Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah! Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  14. JamiiForums Tanzania Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

    Nmepita leo kuangalia lile Kanisa lilipojengwa nimepata mashaka kiasi. Nina wasiwasi linaweza kuwa limejengwa kwenye hifadhi ya barabara au limejengwa sehemu ambayo kulipaswa kujengwa bandari kavu. Lakini pia ile sehemu inawezekana kabisa ikawa ni eneo la Jeshi. Maana kuna kambi ya Lugalo...
  15. JamiiForums Tanzania Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

    Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye. Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

    Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii. Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha. Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa? Majibu...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  18. JamiiForums Tanzania List ya majina 266 ya Papa wa Kanisa Katoliki na mahali walipozaliwa

    Kanisa katoliki limekuwa na Popes 266 kutoka sehemu mbalimbali duniani, tangu kuasisiwa kwake na kukabidhiwa chini ya uangalizi wa Pope wa kwanza Petro (mtume wa Yesu). Hii ni list ya majina Baba watakatifu na mahali walipozaliwa. 16 from FRANCE: (Pope Sylvester II, Pope Stephen IX, Pope Urban...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima ameshindwa kujenga jengo la kanisa, atatusaidia nini sisi watu wa Kawe?

    Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe? Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

    Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…