Uchaguzi 2020 Gwajima ameshindwa kujenga jengo la kanisa, atatusaidia nini sisi watu wa Kawe?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,437
17,094
Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?

Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni kanisa unashangaa, kama kambi ya wakimbizi halafu mtu huyo anatuahidi maendeleo kawe.

Hebu tuwe serious kidogo basi.
 
Ccm haiwezi leta maendeleo zaidi ya kukudumaisha, hata awe nani, akiwa ccm basi akili lazima ibadilike, nadhani wote mmemsikia yule mama aliyekuwa ana heshimika alivyo jivua nguo.
 
Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?

Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni kanisa unashangaa, kama kambi ya wakimbizi halafu mtu huyo anatuahidi maendeleo kawe.

Hebu tuwe serious kidogo basi.
Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama, watatusaidia nini?
 
Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama, watatusaidia nini?
Ccm ambao kwa miaka 60 wamekua wakizalisha ufukara, umasikini wa kupindukia, magonjwa, ujinga na utaahira kama wewe watatusaidia nini kama miaka 60 wameshindwa kufanya jambo lolote la maana?

Leo miaka 60 mnakuja kutuambia daraja ni maendeleo, kwamba kujenga daraja la ubungo ni maendeleo, kununua ndege ni maendeleo?
 
Lete picha tulione
images.jpeg
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Ccm ambao kwa miaka 60 wamekua wakizalisha ufukara, umasikini wa kupindukia, magonjwa, ujinga na utaahira kama wewe watatusaidia nini kama miaka 60 wameshindwa kufanya jambo lolote la maana?

Leo miaka 60 mnakuja kutuambia daraja ni maendeleo, kwamba kujenga daraja la ubungo ni maendeleo, kununua ndege ni maendeleo?
We mpumbavu labda kijijini kwenu ndio masikini, kijijini kwenu ndio kuna magonjwa na utapiamlo, Eti unashangaa Gwajima kwa kutojenga kanisa halafu inashindwa kushangaa why Chadema wameshindwa kujenga makao makuu ya chama
 
Ndio maana unashabikia ccm kwa sababu huna akili. Unaweza kulinganisha jengo la chadema na maendeleo ya nchi? Ccm imetaahirisha wazazi wako, wamekuzaa wewe product ya utaahira ni mwendo ule ule. Mko kwenye vicious circle of foolishness. Ni vigumu sana kutoka. Niombe nizalishe mtoto hapo kwenye mpate mtu wa kuvunja hiyo circle
 
Kanisa ni watu ndugu.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app

Kanisa ni majengo ambayo watu wanatumia kuabudu.Ikiwa kashindwa kujenga kanisa lake mwenyewe,hadi kufikia hatua ya kutaka kubadili misikiti kuwa Sunday School si kitu cha kupuuuza.Kashindwa kuwafufua wafu,kashindwa kutumia lugha ya staha na kumtusi Pengo.
 
Atawafufua waliolala ujingani🤣🤣.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Atawafufua waliolala ujingani🤣🤣.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Juzi alikua kwenye msiba wa mkapa, alishindwa kumfufua? Halafu kuna watu wanamuamini eti ataifufua ccm.

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ccm na ujinga.
 
Back
Top Bottom