jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,826
- 7,595
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.
Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.
=======
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.
Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "
Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.
Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.
His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.
The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.
'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.
'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'
He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.
The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.
source: MailOnline