kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

    Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wito wa Viongozi wa Kanisa Katoliki kuhusu vita dhidi ya Covid 19

  4. Z

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards. Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni. Keep my words
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi tusaidie kumng'amua aliyeuza eneo la Kanisa Anglican kule Buza na kumfanya DC Gondwe kuchachamaa sana!

    Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala. DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona hufungi kanisa au msikiti wako?

    Tumeona nyaraka za viongozi wa Dini ktk kujikinga na huo ugonjwa wa Corona! Mchungaji wetu alipobanwa na Wazee wa Kanisa kama hali ni mbaya kwanini hufungi kanisa watu wasalie nyumbani? Akatujibu kama mnavyoona tangu Jan mpaka Feb tumepata msiba mmoja. Haya mengine ni kufuata Viongozi wa juu...
  7. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

    Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

    THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA OFFICE OF THE VICE CHANCELLOR P.O. Box 23409 Tel: 255-22-2668992/2668445 Dar es Salaam, Tanzania Fax: 255-22-2668759 http://www.out.ac.tz E-mail: vc@out.ac.tz WARAKA WA TAHADHARI YA MAAMBUKIZI YA COVID 19 NA 21 8 Februari 2021, Dar es Salaam, Ndugu...
  10. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Here's Archbishop Harrison Ng'ang'a prophecy to Kikuyus

    HERE'S ARCHBISHOP HARRISON NG'ANG'A PROPHECY "Currently, the best businesses are owned by Kikuyus. The biggest churches, best cars, most successful and educated people, and even the president, are from our land. It rains more in Mt Kenya region than in any other place But, if you don't change...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

  12. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchungaji Mang'welela wa kanisa la Sabato Kahama afariki dunia

    Inafahamishwa kutokea Kahama kuwa, mchungaji John Mang'welela wa kanisa la Sabato huko amefariki dunia leo. Taarifa zaidi ni hii hapa kama ilivyotolewa: ---------- "Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Nyanza Gold Belt Field Mch. Enoch Sando. Tunasikitika kutangaza kifo cha mchungaji mstaafu Pr. John...
  13. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

    Ni huzuni Ni majonzi Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Askofu avuliwa nafasi za kuhudumia Kanisa kutokana na kashfa ya kutoka kimapenzi na mke wa mtu

    Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 500 yatimia tangu Kanisa Katoliki kumtenga Martin Luther, mwanzilishi wa Kanisa la Kilutheri

    Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya minyukano kati ya kanisa na Luther. Luther alikuwa padre na mtawa wa kanisa katoliki kupitia shirika la...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza Kanisa Katoliki Tanzania kwa sasa?

    Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili. Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Kanisa linafungamana na Serikali mpaka linashindwa kukemea maovu, kuna haja ya kuendeleza Sakramenti ya Kitubio?

    Ndugu zangu wakatoliki hebu tulitafakari kanisa letu kwa hii miaka mitano namna lilivyoshindwa kukemea maovu mbalimbali yaliyofanywa na serikali je Kuna haja ya kwenda kutubu kwao Kama zamani au ndio Hawa masnichi watatuchoma na kuuza madhaifu yet kwa watesi wetu? Ukiona viongozi wa kanisa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama nyumba ya ibada imenikuta ninapoishi na ibada zao zinasababisha kelele kubwa, ninaweza kuiomba Mahakama kuwaondoa?

    Nadhani kichwa changu kinajieleza. Mfano msikiti au kanisa wamenikuta mahali ninapoishi na ibada zao mimi kwangu zinanikosesha amani, je naweza kuiomba Mahakama iwaondoe wanipishe? Au ninunue eneo lao?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

    Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi. Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

    Wanaharakati ! kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini! Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa! Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…